Timu ya Eagle sports Academy imepoteza mechi yake dhidi ya USAGARA fc ktk uwanja wa tanga skuli kwa kukubali kipigo cha bao moja bila majibu.
timu ya Eagle Rangers imefanikiwa kushinda bao 4 kwa 0 dhidi ya Jiwe fc katika uwanja wa mikanjuni.
yenye maskani yake mkoani Tanga Sahare imezaa timu nyingine yenye maskani yake Sahare Kijijini na uwanja wake uko huko iitwayo Sahare All Starz
Hakika Sahare ni timu changa ambayo inaleta upinzani mkubwa sana mana asilimia kubwa ya wachezaji wake wametoka Eagle Sports Academy.................