Je unaijua timu iliyozaa timu........ Hapa sizungumzii nchi nyingne wala makundi ya taarabu .....Ila nazungumzia Timu ambayo imezaa timu na kilichozaliwa nacho kikawa kikubwa chenye kuleta upinzani hapa nazungumzia Eagle Sports Academy


RAHA YA MPIRA USHINDANI NA HAPA NDIPO USHINDANI UNAPOKUWA MZURI NDIO JINSI MAFANIKIO YA MPIRA YANAKUWA VIZURI. HAPA NI KM MFANO WA MAN U NA MAN CITY , AMA TIMU ZA BARABARA ZA NAMBA MKOANI TANGA KATI YA COASTAL UNION NA AFRICAN SPORTS... KIINGEREZA WANAITA DERB...HAKIKA SASA KUNA SAHARE DERB KATI YA SAHARE MJINI NA SAHARE KIJIJINI. HAPA NAMAANISHA EAGLE VS SAHARE ALL STAZ.
No comments:
Post a Comment