TANGA CHALLENGE CUP Timu ya Eagle sports Academy imepoteza mechi yake dhidi ya USAGARA fc ktk uwanja wa tanga skuli kwa kukubali kipigo cha bao moja bila majibu.
timu ya Eagle Rangers imefanikiwa kushinda bao 4 kwa 0 dhidi ya Jiwe fc katika uwanja wa mikanjuni.
TANGA CUP CHALLENGE Eagle Rangers imefnikiwa kuwafunga Sigasiga FC bao 2- 0 katika uwanja wa mikanjuni.
TANGA CUP CHALLENGE Timu ya Eagle Rangers imefanikiwa kuwasulubu vibaya mno timu ya JIJI fc Kwa mabao 4-1 katika mechi iliyochezwa ktk uwanja wa Mikanjuni.
vijana wa Eagle Sports Academy imepoteza mechi yake baaada ya kukubali kipigo cha bao moja bila ktk uwanja wa tanga skuli dhidi ya Sahare All staz
Friday, 18 November 2016
TANGA CHALLENGE CUP Timu ya Eagle Rangers imetoa suluhu ya kufungana bao moja kwa moja dhidi ya timu ya cofee fc katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa mikanjuni sec.
timu ya Eagle sports academy imepoteza mchezo wake wa jana kwa kukubali kipigo cha bao mbili bila kutoka kwa Uhuru fc
Tuesday, 15 November 2016
TANGA CUP CHALLENGE Timu ya eagle sports academy jana ilitoshana nguvu na timu ya Double Target fc kwa kutoka suluhu ya bao moja kwa moja katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa tanga school
SIKU YA LEO
Eagle Rangers imekubali kipigo cha goli moja bila majibu kutoka kwa timu ya Super Sport
Sunday, 6 November 2016
HATIMAYE ULE MZIMU UMEWAONDOKA WANA EAGLE BAADA YA KUIFUNGA TIMU YA TORABORA FC BAO 1 BILA MAJIBU....KATIKA UWANJA WA MKWAKWANI... NA SASA KUFIKIA POINT NNE KWA NAFASI YA NNE KATIKA KUNDI LAO