Wednesday, 30 November 2016

                       TANGA CHALLENGE CUP
Timu ya Eagle sports Academy imepoteza mechi yake dhidi ya USAGARA fc ktk uwanja wa tanga skuli kwa kukubali kipigo cha bao moja bila majibu.


timu ya Eagle Rangers imefanikiwa kushinda bao 4 kwa 0 dhidi ya Jiwe fc katika uwanja wa mikanjuni.
                                                        TANGA CUP CHALLENGE
Eagle Rangers imefnikiwa kuwafunga Sigasiga FC bao 2- 0 katika uwanja wa mikanjuni.





                           TANGA CUP CHALLENGE
Timu ya Eagle Rangers imefanikiwa kuwasulubu vibaya mno timu ya JIJI fc Kwa mabao 4-1 katika mechi iliyochezwa ktk uwanja wa Mikanjuni.



vijana wa Eagle Sports Academy imepoteza mechi yake baaada ya kukubali kipigo cha bao moja bila ktk uwanja wa tanga skuli dhidi ya Sahare All staz

Friday, 18 November 2016

                               TANGA CHALLENGE CUP
Timu ya Eagle Rangers imetoa suluhu ya kufungana bao moja kwa moja dhidi ya timu ya cofee fc katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa mikanjuni sec.




timu ya Eagle sports academy imepoteza mchezo wake wa jana kwa kukubali kipigo cha bao mbili bila kutoka kwa Uhuru fc

Tuesday, 15 November 2016

                                           TANGA CUP CHALLENGE
Timu ya eagle sports academy jana ilitoshana nguvu na timu ya Double Target fc kwa kutoka suluhu ya bao moja kwa moja katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa tanga school



SIKU YA LEO 
Eagle Rangers imekubali kipigo cha goli moja bila majibu kutoka kwa timu ya Super Sport 

Sunday, 6 November 2016

HATIMAYE ULE MZIMU UMEWAONDOKA WANA EAGLE BAADA YA KUIFUNGA TIMU YA TORABORA FC BAO 1 BILA MAJIBU....KATIKA UWANJA WA MKWAKWANI... NA SASA KUFIKIA POINT NNE KWA NAFASI YA NNE KATIKA KUNDI LAO

Monday, 10 October 2016

HAIKUWA BAHATI YAO VIJANA.. LEO VIJANA WA EAGLE RANGERS WAMEKUBALI KIPIGO CHA GOLI MBILI KUTOKA KWA BOMBOKA FC BILA MAJIBU.KILA GOLI NA KIPINDI CHAKE.KATIKA MCHEZO WA LIGI YA MKOA ULIOPIGWA UWANJA WA MKWAKWANI