Wednesday, 28 September 2016

WANASAHAREE...........
LEO VIJANA WA EAGLE RANGERS A.K.A MPIRA PASI WAMEPOTEZA MECHI YAO DHIDI YA SAHARE ALL STARS ULIOPIGWA KTK UWANJA WA MKWAKWANI KWA KUKUBALI MAGOLI 2 KWA 1. HONGERA SAHARE


Thursday, 22 September 2016

EAGLE RANGERS LEO IMETOSHANA NGUVU NA MUHEZA UNITED KATIKA UWANJA WA MUHEZA ..MABAO NI BILA KWA BILA






Monday, 12 September 2016

RAHA YA SIKUKUU FURAHA....LEO VIJANA WA EAGLE RANGERS WAMEMALIZA SIKU YAO KWA FURAHA........KWA  KUMEWAFUNGA  HANDENI COMBINE BAO 2 KWA MOJA KATIKA MECHI ILIYOFANYIKA MKATA.

Saturday, 10 September 2016

MGAMBO JKT YAIBUKA NA USHINDI WA GOLI 1 KWA BILA DHIDI YA EAGLE RANGERS KATIKA UWANJA WA POPATLAL.

Saturday, 3 September 2016

UBABE UBABE BAADA YA MECHI YA JUZI KUKALISHWA MTU MZIMA HATIMAYE LEO KAKAA KAKAA TENA RAS TANGA IMEKUBALI KWA RIDHAA YAO BAO NNE KWA BILA ...HUKU MAGOLI YA EAGLE YAKITIWA NYAVUNI NA
 ABDUL NEMBUKA 2
MAAMUN 1
NICKSON 1......VIVA EAGLE RANGERS

Thursday, 1 September 2016


HATIMAYE WENYE GEREZA LA MAWENI AL MAARUFU KAMA SMALL PRISON WAMEKUBALI KIPIGO CHA BAO MOJA KWA BILA KUTOKA KWA VIJANA HATARI MACHACHARI KUTOKA KITUO CHA EAGLE SPORTS ACADEMY TIMU YA EAGLE RANGERS. KATIKA UWANJA WA MAWENI TANGA.





TIMU YA EAGLE BAADA YA GOLI LA KWANZA